Majadiliano:Mwanaanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 9:
 
:Umejaribu kuwasiliana nae? Hata mie hapa mgeni!--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 10:50, 4 Septemba 2014 (UTC)
 
::Mabadiliko ya [[mtumiaji:Nyabsino]] hayana msingi wala katika kamusi za Kiswahili wala katika matumizi kwenye intaneti. Nahisi alijaribu kutumia neno "falaki" (kwa maombi ya wataalamu wa fani hii tumeamua kutoendelea na neno hili kwa habari za kisayansi na badala yake tunatumia "astronomia" - tazama [[majadiliano:Astronomia]]. menginevyo nahisi ya kwamba alijaribu kuunda neno "fasi" kwa "space" (kutoka neno "nafasi"?). Ilhali hajarudi kujieleza narudisha mabadiliko yake. ~ '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])'''
Rudi kwenye ukurasa wa " Mwanaanga ".