Nanomita : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 4:
Kipimo hiki hutumiwa kwa kutaja vipimo katika [[fizikia]] ya [[atomi]] na [[molekuli]], pia katika [[biolojia]] kwa vipimo vya [[kiini cha seli]] na [[jenetikia]]. Kipenyo cha [[atomi]] ya [[heli]] ni takriban 0.1 nm; [[virusi]] nyingi vina kipenyo cha baina 20 nm na 300 nm.
 
Nanomita ni pia kipimo cha kawaida kwa kutaja urefu wa [[Mnururisho sumakuumeme|mawimbi ya usumakuumeme]]. [[Nuru]] inayoonekana ina urefu wa wimbi kati ya 400 nm hadi 800 nm. .<ref>Hewakuruppu, Y., et al., ''[https://www.researchgate.net/publication/257069746_Plasmonic__pump__probe__method_to_study_semi-transparent_nanofluids?ev=prf_pub Plasmonic “ pump – probe ” method to study semi-transparent nanofluids]'', Applied Optics, 52(24):6041-6050</ref>
 
Kipimo hiki kinatumiwa sana kwa makadirio katika [[teknolojia ya nano]].