Tofauti kati ya marekesbisho "Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita"

Hii ni habari njema. Isitoshe: mambo huenda polepole! Mungu akutangulie katika safari yako, mzee wangu!--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 06:03, 5 Machi 2017 (UTC)
:Baba Tabita salaam. Mimi pia ninakutakia safari njema na natumaini kwamba utaweza kutuwakilisha kiasi. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 21:55, 5 Machi 2017 (UTC)
 
::Naunga mkono Muddy na ChriKo. Ombi: ukiwa huko naomba chukua nafasi kuuliza kuhusu masharti ya kuandikishwa kama kundi la watumiaji wa wikimedia (user group). Baada ya majadiliano yetu kuhusu "wikimedia chapter tanzania" labda hapo hatua moja ambako tungeweza kuanza, hasa nikiona ya kwamba Riccardo alielekea kuwa tayari kuwa katibu. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 08:17, 6 Machi 2017 (UTC)