Mfereji wa Mariana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q510 (translate me)
Mstari 1:
[[Picha:Marianatrenchmap.png|right|300px|thumb|Ramani ya eneo la mfereji wa Mariana]]
'''Mfereji wa Mariana''' ni sehemu ya chini kabisa kwenye uso wa dunia yetu. Ni mfereji wa [[Bahari ya Pasifiki]] ambako kina cha maji hufikia mita 10,293 kutoka uso wa bahari hadi [[[[sakafu ya bahari]]|msingi]] wake. Mifereji kwenye misingi ya bahari hulinganishwa pia na mabonde makali au korongo chini ya maji.
 
Mfereji huu uko kando ya [[Visiwa vya Mariana]] karibu na [[Guam]]. Ni mahali ambako [[bamba la Pasifiki]] hujisukuma chini ya [[Bamba la Ufilipino]].