Andria ni mji wa mkoa wa Puglia, Italia Kusini.

Sehemu ya mji wa Andria

Mji una wakazi 99,671 na hivyo ni wa 46 nchini Italia.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Andria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.