Go-Toba (6 Agosti, 118028 Machi, 1239) alikuwa mfalme mkuu wa 82 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Takahira, na alikuwa mwana wa nne wa Tenno Takakura. Mwaka wa 1183 alimfuata kaka yake, Antoku, ila Antoku akakataa kujiuzulu, yaani kulikuwa wafalme wawili hadi kifo chake Antoku 1185. Go-Toba akaendelea kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1198. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Tsuchimikado.

Mchoro wa Go-Toba

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Toba wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.