Tsuchimikado wa Japani
(Elekezwa kutoka Tsuchimikado)
Tsuchimikado (3 Januari, 1196 – 6 Novemba, 1231) alikuwa mfalme mkuu wa 83 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tamehito, na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno Go-Toba. Mwaka wa 1198 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1210. Aliyemfuata kama Tenno ni mdogo wake Juntoku. Baadaye, mwana wake wa sita Go-Saga alikuwa mfalme 1242-1246.
Angalia pia
haririMakala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tsuchimikado wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |