Herman Wouk (amezaliwa 27 Mei 1915) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa riwaya zake zinazoeleza hali ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Mwaka wa 1952 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Caine Mutiny.

Herman Wouk

Amezaliwa 27 Mei 1915
New York, Marekani
Kazi yake Mwandishi
Ndoa Betty Sarah Brown
(1945-2011)
Watoto Joseph Wouk, Nathanial Wouk


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Herman Wouk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.