Jule Brand (alizaliwa 16 Oktoba 2002) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama beki au kiungo wa timu ya 1899 Hoffenheim na timu ya taifa ya wanawake ya Ujerumani.[1]

Jule Brand

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jule Brand kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.