Prayagraj ni jiji la Jimbo la Uttar Pradesh nchini Uhindi lenye wakazi milioni 1.1 (2011). Ni mji mkubwa wa thelathini na nane nchini Uhindi. Katika Prayagraj Ganges, mto mkubwa zaidi wa India, na Yamuna hukutana

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Prayagraj kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.