Yamuna
Yamuna (kwa Kihindi: यमुना, yamunā; pia: जमुना, Jamuna; kwa Kiurdu: جمنا) ni mto mkubwa huko Uhindi Kaskazini. Ni tawimto kubwa zaidi la mto Ganga.
Chanzo | milima ya Himalaya katika jimbo la Uttarakhand |
Mdomo | mto Ganga |
Nchi | Uhindi |
Urefu | km 1,376 |
Kimo cha chanzo | mita 3,293 |
Tawimito upande wa kulia | mito ya Chambal, Betwa, Ken, Sindh, Baghain |
Tawimito upande wa kushoto | miro ya Hindon, Tons, Giri, Rishiganga, Hanuman Ganga, Sasur Khaderi |
Mkondo | wastani m3 2,950 |
Eneo la beseni | km2 366,223 |
Miji mikubwa kando lake | Delhi, Mathura, Agra, Allahabad |

Huanza kwenye milima ya Himalaya katika jimbo la Uttarakhand. Unaendelea katika majimbo ya Uhindi ya Haryana, eneo la mji mkuu Delhi na Uttar Pradesh. Mwishowe, kwenye mji wa Allahabad, inaishia katika mto Ganga baada ya mwendo wa kilomita 1,370.
Picha hariri
Tovuti za Nje hariri
- Jiografia ya Rigveda Archived 15 Januari 2018 at the Wayback Machine.
- Mpango wa utekelezaji wa Yamuna Archived 6 Oktoba 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Yamuna kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |