Robert Traill Spence Lowell IV (1 Machi 191712 Septemba 1977) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi mara mbili: 1947 na 1974.

Robert Lowell, 1965
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Lowell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.