Sebastián Piñera

Miguel Juan Sebastián Piñera Echenique (amezaliwa 1 Disemba 1949) ni mfanyabiashara na bilionea wa Chile, kwa sasa ni Rais wa Chile tangu mwaka 2018, hapo awali alikuwa akihudumu kutoka mwaka 2010 hadi 2014.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sebastián Piñera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.