1 Desemba
tarehe
(Elekezwa kutoka 1 Disemba)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 1 Desemba ni siku ya 335 ya mwaka (ya 336 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 30.
Matukio
hariri- 1640 - Mfalme Yohane IV wa Ureno anamaliza kipindi cha maungano ya kifalme kati ya Ureno na Hispania; Ureno unakuwa nchi huru tena
Waliozaliwa
hariri- 1925 - Martin Rodbell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1994
- 1951 - Jaco Pastorius, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1973 - Lombardo Boyar, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1981 - Khamis Mussa, mwigizaji na mwanamuziki kutoka Tanzania
- 1982 - Diego Cavalieri, mchezaji mpira kutoka Brazil
Waliofariki
hariri- 1433 - Go-Komatsu, mfalme mkuu wa Japani (1392-1412)
- 1521 - Papa Leo X
- 2007 - Elisabeth Eybers, mwandishi wa Afrika Kusini
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu nabii Nahumu, Kastrisiani, Ajeriki, Eliji wa Noyon, Edmundi Campion, Rudolf Sherwin, Aleksanda Briant, Charles de Foucauld n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |