Maandamano dhidi ya nishati ya kinyuklia Marekani
Maandamano dhidi ya nishati ya kinyuklia Marekani yametokea baada ya kuanzishwa kwa mitambo ya kuzalisha nyuklia.
Mifano inahusisha Muungano wa Clamshell kupinga uzalishwaji wa nyuklia wa Seabrook station, Muungano wa Abalone kupinga uzalishwaji wa nyuklia ndani ya Diablo canyon power plant na maandamano mengine yaliyofuatia kutokana na ajali ya kisiwa cha Maili tatu mwaka 1979.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Giugni, Marco (2004). Social Protest and Policy Change: Ecology, Antinuclear, and Peace Movements in Comparative Perspective (kwa Kiingereza). Rowman & Littlefield. ISBN 978-0-7425-1827-8.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |