Maangamizi: The Ancient One
Maangamizi: The Ancient One ni filamu ya Kitanzania ambayo imetengenezwa na Jonathan Demme chini ya usimamizi wa wakurugenzi Martin Mhando na Ron Mulvihill.
Ilitangazwa kwenye Tamasha la Filamu la Pan African na imeshiriki katika Sherehe za Filamu zaidi ya 55 ulimwenguni kote. Filamu hii ilipendekezwa kwenye tuzo iliyoitwa Academy award kwa filamu bora kwa lugha ya kigeni kutokea nchini Tanzania na ndio ilikua filamu pekee lakini haikuweza kuchaguliwa katika tuzo hiyo mnamo mwaka 2016.
Muundo
haririDaktari Asira amekutana na utofauti kati ya madawa ya kisasa na ya kiasili yanayojihusisha na imani kutokea Afrika Mashariki. Amekutana na utofauti huu pale ambapo mwanamke Samehe ameletwa hospitali. Samehe alikuwa akidai yupo chini ya uangalizi wa Maangamizi, mizimu ya mababu.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maangamizi: The Ancient One kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |