Mizimu inamaanisha roho zilizoishi katika mwili kabla ya kuiaga dunia.

Katika baadhi ya dini na mila inaaminika kuwa mizimu inaweza kuwa na faida kwa watu waliopo duniani na ina uwezo wa kuwasiliana nao kwa kutumia njia mbalimbali kufuatana na mazingira au utamaduni.

Katika Kanisa Katoliki na baadhi ya madhehebu mengine, mizimu inaweza kuwa ya watakatifu.

Kuna tofauti kati ya mizimu; pengine ni roho za binadamu ambao hawakutimiza majukumu yao au walifanya kinyume wakati wapo duniani.

Icon-religion.svg Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.