Macocha Tembele
Mwana Uchumi
Macocha Tembele (amezaliwa katika jiji la Dar es Salaam, 21 Machi 1974) ni balozi na mkurugenzi wa umoja na ushirikiano wa Afrika Mashariki. [1][2]
| |
Ndugu Balozi na Mkurugrnzi mkuu | |
Bunge la | |
Jimbo la uchaguzi | |
Tarehe ya kuzaliwa | 21 Machi 1974 |
Mahali pa kuzaliwa | Dar es Salaam, Tanzania |
Tarehe ya kifo | |
Chama | Chama cha Mapinduzi |
Tar. ya kuingia bunge | |
Alirudishwa mwaka | |
Aliondoka | |
Alingia ofisini | |
Aliondoka ofisini | |
Alitanguliwa na | |
Alifuatwa na | |
Dini | |
Elimu yake | Chuo kikuu cha Dar es salaam |
Digrii anazoshika | |
Kazi | |
Mengine | |
Tovuti yake |
Elimu na uzoefu
haririMacocha alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mnamo mwaka 1995, akisomea masuala ya uchumi na kupata stashahada (B.A). Mnamo mwaka 2011 alijiunga na chuo cha London metropolitan university ndani ya Ufalme wa Muungano na huko alihitimu na kupata shahada ya daraja la kwanza katika masuala ya uhusiano wa kimataifa, na mwaka 2013 alijiunga na chuo Tanzania/Msumbiji kituo cha mafunzo kwa ajiri ya mambo ya kigeni na kupata shahada ya utumishi wa masula ya kigeni na mwaka 2019 alisoma chuo cha Fideral institute of technoloy jijini Zürich nchini Uswisi. [3]
Tanbihi
hariri- ↑ https://www.foreign.go.tz/index.php/about/team
- ↑ "Tanzania: President Samia Appoints 23 Ambassadors, Including Former Beauty Queen". Afro News (kwa American English). 2021-05-23. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-09. Iliwekwa mnamo 2021-11-09.
- ↑ "Macocha Tembele – Page 10". MinBane (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-11-09.