Macoura Dao
Mwanasiasa wa Ivory Cost
Macoura Dao (jina la kuzaliwa: Macoura Coulibaly) ni mwanasiasa wa Ivory Coast. Ni meya wa jimbo la Foumbolo. Mnamo 2019 alimrithi Célestine Ketcha Courtès kama Rais wa Network for Locally Elected Women of Africa (REFELA).
Kazi
haririKatika chaguzi za mitaa za Ivory Coast Macoura Dao aliwakilisha chama cha Rally of the Republicans (RDR), akipata 35.22% ya kura za umeya huko Foumbolo.[1]
Mnamo mwaka 2017 alishinda tuzo ya Ubora kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama, akichukua tuzo ya pili ya afisa bora aliyechaguliwa nchini humo.[2] Macoura Dao aliteuliwa kuwa Rais wa REFELA katika mkutano huko Cairo mnamo Juni 17, 2019..[3]
Marejeo
hariri- ↑ RESULTATS DES ELECTIONS MUNICIPALES 2013 PAR LA CEI Ilihifadhiwa 23 Februari 2020 kwenye Wayback Machine., 21 April 2013.
- ↑ Les Prix d’Excellence 2017 du ministère de l’Intérieur et de la Sécurité récompensés Ilihifadhiwa 26 Julai 2020 kwenye Wayback Machine., too.ci, 10 November 2017.
- ↑ L'Ivoirienne Macoura Dao élue présidente du REFELA au Caire (Égypte), mediaterre.org, June 20, 2019. Accessed on July 26, 2020.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Macoura Dao kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |