17 Juni
tarehe
(Elekezwa kutoka Juni 17)
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 17 Juni ni siku ya 168 ya mwaka (ya 169 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 197.
Matukio
hariri- 1789 - wawakilishi wa tabaka la tatu katika bunge la Ufaransa wanajitangaza kuwa "bunge la kitaifa", mwanzo wa Mapinduzi ya Ufaransa
Waliozaliwa
hariri- 1603 - Mtakatifu Yosefu wa Kopertino, padri wa shirika la Ndugu Wadogo Wakonventuali kutoka Italia
- 1882 - Igor Stravinsky, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1914 – John Hersey, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1945
- 1920 - Francois Jacob, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965
- 1958 - Mohamed A. Abdulaziz, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki
hariri- 676 - Mtakatifu Papa Adeodato II
- 1578 - Mwenye heri Paulo Burali, askofu mkuu na kardinali nchini Italia
- 1887 - Hugo Birger, mchoraji wa Uswidi
- 1940 - Arthur Harden, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1929
- 2001 - Donald Cram, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1987
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Blasto na Diogene, Isauri, Inosenti na wenzao, Nikandro na Marsiano, Antidi wa Besancon, Ipasi wa Bitinia, Hervei, Aviti wa Orleans, Ranieri wa Pisa, Teresa wa Ureno, Petro Da n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 17 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |