Madi Monamay
Madi Monamay Nsosemo (alizaliwa 6 Aprili 2006)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ubelgiji, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani.
Marejeo
hariri- ↑ Perform Media Deutschland GmbH (2022-10-31). "Diashow: Bayers Talente-Jagd ohne Treffer: USA-Studium und Karriereende mit 22". www.spox.com (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Madi Monamay kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |