Madonna
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Madonna (kwa Kiitalia: My Lady) inaweza kumaanisha:
Ukristo
hariri- Bikira Maria (mama wa Yesu),ambapo matumizi mengine kwa ujumla yanatokea
- Madonna (sanaa), mchoro wa Bikira Maria
Msanii
hariri- Madonna (Msanii), mwimbaji na mwigizaji wa Marekani
- Madonna (albamu), jina la albamu yake ya kwanza
- Madonna (video Schumacher), kusanyo la picha za muziki za runinga
Matumizi mengine katika burudani
hariri- Madonna (studio), picha za runinga za watu wazima za Kijapani (AV) kampuni yenye makao yake mjini Tokyo
- "Madonna" ilikuwa aina ya kukata nywele iitwayo bob Marekani katika miaka ya 1920.