Madyina Ngulube

mwanasoka wa Malawi

Madyina Ngulube, (alizaliwa 18 Juni 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Malawi, ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya DD Sunshine na Timu ya Taifa ya wanawake Malawi.

Madyina Ngulube
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 18 June 1996
Mahala pa kuzaliwa    Malawi
Nafasi anayochezea Kiungo
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Wanawake Malawi

* Magoli alioshinda

Ushiriki Kimataifa hariri

Ngulube aliichezea Timu ya Taifa ya Wanawake Malawi katika misimu mawili ya michuano ya Kombe la Wanawake la COSAFA (2020 na 2021).[1]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Madyina Ngulube kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.