Mageuzi (kwa Kiingereza: "reform") ni mabadiliko ya taratibu hasa katika siasa ya nchi, tofauti na mapinduzi ambayo yanafanyika haraka na mara nyingi kwa kutumia nguvu.

Tazama piaEdit