Mahmoud Hassan Mgimwa

Mahmoud Hassan Mgimwa Amezaliwa 13 Machi 1963 ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mufindi Kaskazini kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017