Mainz
Mainz (Kilatini: Mogontiacum) ni mji mkuu wa Rhine-Palatino nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Rhine. Idadi ya wakazi wake ni takriban 200.957.
Jiji la Mainz | |||
| |||
Mahali pa mji wa Mainz katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 50°0′0″N 8°16′0″E / 50.00000°N 8.26667°E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Majimbo | Rhine-Palatino | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 200.957 | ||
Tovuti: www.mainz.de |
Tazama pia
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mainz kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |