Maisha ya Antoni ni kitabu kilichoandikwa na askofu Atanasi wa Aleksandria[1] mwaka 360 hivi kuhusu maisha ya mmonaki Antoni Mkuu wa Misri aliyekuwa amefariki tangu miaka 4.

"Antoni abati", mchoro wa Yakobo Pontormo, 1519, Firenze.

Kitabu hicho cha Kigiriki, hasa baada ya kutafsiriwa kwa Kilatini, kilisomwa na wengi[2] na kuathiri sana Kanisa lote kwa kueneza umonaki hata Ulaya Magharibi[3].

Tanbihi hariri

  1. "Athanasius of Alexandria: Vita S. Antoni [Life of St. Antony] (written bwtween 356 and 362)". Fordham University. Iliwekwa mnamo 14 July 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. The Essential Writings of Christian Mysticism, Bernhart McGinn ISBN|0-8129-7421-2
  3. "Athanasius", Christian History | Learn the History of Christianity & the Church. (en) 

Marejeo hariri

  • Athanase d’Alexandrie: Vie d’Antoine. Introd., texte critique, trad., notes et index par G. J. M. Bartelink (Sources Chrétiennes 400), Éditions du Cerf, Parisiis 1994. (Kigiriki, Kifaransa)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maisha ya Antoni kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.