Majadiliano:Anime
Latest comment: miaka 12 iliyopita by Kipala in topic Irekebishwe au kufutwa
Irekebishwe au kufutwa
haririMakala inaonekana ama ni tafsiri ya kompyuta au imefanywa na mtu asiyejua Kiswahili. Haieleweki. Irekebishwa haraka au kufutwa. Kipala (majadiliano) 11:12, 4 Novemba 2012 (UTC)
- Nimeboresha, Mzee Wangu.--MwanaharakatiLonga 16:22, 5 Novemba 2012 (UTC)
- Kumbe, ajabu: sasa naelewa makala inahusu nini! Asante Mkuu wangu! Kipala (majadiliano) 21:10, 5 Novemba 2012 (UTC)