Majadiliano:Baibui

Latest comment: miaka 4 iliyopita by Riccardo Riccioni in topic Baibui Badala ya Buibui

Baibui Badala ya Buibui hariri

Habari wahariri, nadhani jina sahihi ni baibui badala ya buibui. ref https://www.google.com/search?client=firefox-b-d&q=baibui Czeus25 Masele (majadiliano) 21:17, 28 Februari 2020 (UTC)Reply

KKK inakubali zote mbili. Ndiyo maana nimeweka elekezo kwenye ukurasa mtarajiwa "baibui". Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:29, 1 Machi 2020 (UTC)Reply
Return to "Baibui" page.