Majadiliano:Barabara

Latest comment: miaka 4 iliyopita by Kipala in topic Ubora wa barabara

Ubora wa barabara hariri

Nyongeza kuhusu ubora wa barabara zilitungwa kwa nia nzuri lakini kwa bahati mbaya bila kutaja habari za kimsingi, teknolojia na istilahi zinazohitajika: kama kusudi la barabara, makadirio ya matumizi, muundo kama matabaka ya msingi na uso (linganisha: Njia_ya_reli#Muundo_wa_ujenzi. Sehemu hii jinsi ilivyo sasa (19 Juni 2019) inahitaji marekebisho.Kipala (majadiliano) 15:05, 19 Juni 2019 (UTC)Reply

Return to "Barabara" page.