Majadiliano:Benjamin wa Mambo Jambo

Latest comment: miaka 9 iliyopita by Kipala in topic Makala si kamili

Makala si kamili hariri

Hadi sasa makala haionyeshi ya kwamba mhusika ana umaarufu wowote na kustahili kuwa na makala ya wikipedia. Hakuna mifano ya kazi zake (rekodi, nyimbo) inayotajwa humo. Kipala (majadiliano) 07:08, 2 Juni 2014 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Benjamin wa Mambo Jambo ".