Majadiliano:Carolyne Ekyarisiima

Namna ya Kuiendeleza Kurasa ya Carolyne Ekyarisiima hariri

Kuna yeyote Mwenye nia ya kuiweka sawa Makala Hii? Kuna mapungufu mengi ambayo ni vyema yakawekwa sawa mapema. Madenge Nyerere (majadiliano) 14:24, 4 Januari 2024 (UTC)Reply

Kimsingi makala haina shida kubwa isipokuwa suala la kimuundo. Rekebisha muundo wake na kazi iendelee. Ukilalamika ilhali unaweza kuifanya hiyo kazi ni ajabu kabisa. Muddyb Mwanaharakati Longa 10:53, 16 Januari 2024 (UTC)Reply
Sawia mkuu. Madenge Nyerere (majadiliano) 12:14, 2 Februari 2024 (UTC)Reply
Return to "Carolyne Ekyarisiima" page.