Catabum Castra ulikuwa mji wa kale wa Dola la Roma uliokuwepo kaskazini mwa Afrika kipindi cha himaya ya Bizanti, ufalme wa Wavandali na dola la Roma. Mji huo unatambulika kwa magofu ya Djidioua [1] nchini Algeria.

Roman Empire - Mauretania Caesariensis (125 AD)

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Catabum Castra kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.