Majadiliano:Chama cha Uhuru cha Puerto Rico

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Tosha!

Tosha! hariri

Huyu Ivana Icana ameandika maombi ya kuongeza makala hii kwa watu wanne au watano. Mimi naona ni usumbufu tu. HAsa makala hii imeripotiwa katika wikipedia mbalimbali kuwa imeingizwa habari zisizofaa. Inaonekana kuna kundi linalotaka kusambaza ujumbe wao. Wakitaka kwetu wajifunze Kiswahili. Sioni haja lolote kwa sasa kupanusha makala kwa sababu kati habari zetu juu ya Puerto Rico jinsi zilivyo inatosha. --Kipala (majadiliano) 15:44, 7 Septemba 2008 (UTC)Reply

Mkubwa, nakubaliana na wewe! Hata kwangu kaja, lakini sielewi kwanini katuchanganya? Basi aende zake. Na siye wala hatutojali kuhusu maelezo yake. Labda andike mwenyewe!!--Mwanaharakati (majadiliano) 05:38, 8 Septemba 2008 (UTC)Reply
Return to "Chama cha Uhuru cha Puerto Rico" page.