Majadiliano:DNA ya mitokondria

Latest comment: miaka 9 iliyopita by ChriKo in topic Jina lisilotegemewa

Jina lisilotegemewa hariri

Nani amefikiria tafsiri hii? Maana ya "DNA ya mviringo" kwa Kiingereza ni "circular DNA". DNA kama hii haipatikani katika mitokondria tu lakini katika seli zote za prokarioti. "DNA ya mitokondria" (au ADN ya mitokondria?) ni bora. ChriKo (majadiliano) 19:05, 7 Aprili 2015 (UTC)Reply

Ndugu, sahihisha unavyoona vema. Jina hilo nimelitumia kwa muda mrefu ili kutofautisha DNA hiyo na ile ya mstari. Nilisema mara kadhaa mimi si mtaalamu wa sayansi. Ila naona mada ni muhimu. Nilifurahi kukufahamu Morogoro. Karibu tena! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:26, 9 Aprili 2015 (UTC)Reply
Haidhuru Riccardo, nilifikiri kwamba ulipata msemio huu katika kamusi fulani au mahali pengine. Sawa basi, nitasahihisha jina la ukurasa. Hata mimi nilifurahi kukufahamu Morogoro. Kila la heri! ChriKo (majadiliano) 21:16, 9 Aprili 2015 (UTC)Reply
Return to "DNA ya mitokondria" page.