Majadiliano:Dawa ya kibiolojia

(Elekezwa kutoka Majadiliano:Dawa ya Kibiolojia)
Latest comment: miaka 9 iliyopita by Kipala in topic Jina

Jina hariri

Asante sana kwa makala muhimu! Swali tu kuhusu chaguo la lemma: je isingekuwa afadhali "viuawadudu vya kibiolojia"? yaani naona pia lemma ya kiingereza "Biopharmaceutical". Tukifik pale siku moja - iweje? Kipala (majadiliano) 18:14, 12 Aprili 2015 (UTC)Reply

Hii ni swala la kuvutia. Lakini usiwe na haraka kuhamisha ukurasa huu. Wingi mkubwa wa watu husema "dawa" wakikusudia "pesticide". Na "biopharmaceutical" siyo dhana ya kawaida. Tufikirie kitambo kiasi. ChriKo (majadiliano) 18:36, 12 Aprili 2015 (UTC)Reply
Kufikiri haina hasara (kwa kawaida)! Kipala (majadiliano) 19:51, 12 Aprili 2015 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Dawa ya kibiolojia ".