Majadiliano:Deuterokanoni

Protestanti na vitabu vya deuterokanoni hariri

Je ni Waprotestanti gani wanaokubali vitabu vya deuterokanoni kuwa vitabu kamili vya Biblia? Naomba watajwe au tusahihishe sehemu hii. --Kipala (majadiliano) 14:53, 29 Novemba 2008 (UTC)Reply

Ninaowajua mimi ni baadhi ya Waanglikana. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:16, 30 Novemba 2008 (UTC)Reply
Vitabu vya Deuterokanoni vinapatikana katika King James Version. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:17, 30 Novemba 2008 (UTC)Reply
Lakini kwa maana ya pekee kama vipo - linganisha en:Authorized King James Version sehemu ya "Apocrypha". Yaani havipo katika matoleo yote ya King James Version, kama vipo tena kwa maelewano ya kwamba si sawa na vitabu vingine. --Kipala (majadiliano) 10:35, 30 Novemba 2008 (UTC)Reply
Return to "Deuterokanoni" page.