Majadiliano:Edger Luhende Ngelela

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Maria, umeandika makala ndeefu bila hata kutaja marejeo au vyanzo. Hii kuna uwezekano mkubwa wa kufutwa. Pia, makala haijafuta muundo wa makala za wikipedia - ipo hovyo-hovyo. Unaombwa usahihishe, dada.--Muddyb MwanaharakatiLonga 15:01, 18 Desemba 2009 (UTC)Reply

Hongera zako teele! Naona sasa umewiva kabisa dada langu. Basi kaza buti na usilewe na misifa!!! Tuonane baadaye!--Muddyb MwanaharakatiLonga 07:03, 21 Desemba 2009 (UTC)Reply
Return to "Edger Luhende Ngelela" page.