Majadiliano:Elki
Latest comment: miaka 11 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Uhamisho wa Elki hadi Muusi
Uhamisho wa Elki hadi Muusi
haririSikubali uhamisho wa Elki hadi Muusi. Hata sikuona sababu yake. Tafadhali tueleze. Tafsiri ya ukurasa wa Kiingereza "Moose" si sababu nzuri. Jina "Elk" ni la zamani zaidi na majina yafananayo yamo kwa lugha nyingine. "Moose" hutumika huko Marekani tu. Ningependa kutengua uhamisho huu. ChriKo (majadiliano) 23:40, 19 Machi 2013 (UTC)
- Kawaida yangu, napenda sana kuheshima watu na uga zao. Katika anga hii, huna pingamizi. Endelea na utenguzi wako, ChriKo!--MwanaharakatiLonga 06:34, 25 Machi 2013 (UTC)