Majadiliano:Facebook
Latest comment: miaka 9 iliyopita by Kipala in topic Futa makala
Facebook yaitwa vipi kwa Kiswahili?
- Facebook ni jina na jina kwa kawaida haitafsiriwi - isipokuwa kama wenyewe wanatangaza jina la pekee kwa ajili ya Kiswahili. Sawa na google .k. Kipala (majadiliano) 06:36, 26 Oktoba 2015 (UTC)
Futa makala
haririTafsiri na lugha ni mbaya , ama ni ya kompyuta au ya mhariri mvivu. Isibaki ilivyo. Ingawa lemma inapendwa sana, sioni faida ibaki kama haiboreshwi. Karibu kuchangia hapa Wikipedia:Makala_kwa_ufutaji#Facebook Kipala (majadiliano) 06:36, 26 Oktoba 2015 (UTC)