Majadiliano:Gaston Ngailo

Latest comment: miezi 3 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Kujitangaza

Kujitangaza hariri

Wapendwa,

kunapendekezo la kufuta makala hii kwani imekiuka misingi ya dhima ya kuweka makala hapa (notability). Mtu huyu hana sifa ya kuandikwa kwenye kurasa hizi kwasababu hana vyanzo imara kulingana na sera yetu vya kumtamburisha.

ikumbukwe kuwa kurasa za mitandao ya kijamii sio vyanzo vya kuaminika kwetu. natoa massa 24 kuthibitisha hili au laa makala itafutwa.

Asante Olimasy (majadiliano) 08:52, 3 Januari 2024 (UTC)Reply

Hebu tafuta vyanzo kwanza kabla ya kumfuta. Ukiona nimemwandika, basi ujuwe huyu kijana anastahili. Mimi si mtu wa kukurupuka. Itafute GetValue uwone mchango wake. Muddyb Mwanaharakati Longa 20:49, 12 Januari 2024 (UTC)Reply
Mheshimiwa sana MuddyB nimeangalia vyanzo vilivyo rejewa hapo ni kurasa za mitandao ya kijamii kitu ambacho kinakiuka kifungu cha vyanzo sahihi vya makala. anaweza kuwa kweli ni mtu muhimu anahitajika kuandikwa hapa lakini anakosa baadhi ya vigezo, nijukumu letu waandishi kuvitafuta hivo vyanzo. Asalaam.. Olimasy (majadiliano)
Return to "Gaston Ngailo" page.