Majadiliano:Historia ya Uislamu

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Je, kiungo kwenda Wikipedia ya Kiingereza na Wiki zingine ni sahihi? Nikitazama neno lenyewe kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza ni tofauti sana. Hata makala zenyewe hazifanini kimaelezo. Hapa tunasema "Histori ya Uislamu." Wakati Wikipedia ya Kiingereza inasema: "Timeline of Muslim history." Hii siyo sahihi. Kwa sababu ipo makala nyingine inayoelezea Histoy of Islam. Sijui. Lakini hapa, mmmhh!! Haya.--Muddyb MwanaharakatiLonga 10:28, 14 Septemba 2009 (UTC)Reply

Return to "Historia ya Uislamu" page.