Majadiliano:Jimbo Katoliki la Musoma
Latest comment: miaka 12 iliyopita by Kipala in topic Bunda vijijini
Bunda vijijini
haririJe kuna wilaya ya Bunda vijijini?? Kama iko naomba habari na marejeo kwa ajili ya makla za wilaya / Mkoa wa Mara. Kama la, makala ya Jimbo Katoliki la Musoma isahihishwe. Kipala (majadiliano) 11:04, 22 Januari 2012 (UTC)