Majadiliano:Khanga

Latest comment: miaka 6 iliyopita by ChriKo in topic Tahajia

Tahajia hariri

Mna uhakika kwamba tahajia hii inapendekezwa? Kufuatana na uchunguzi mdogo ambao nimefanya inaonekana kwamba "kanga" inatumika zaidi kuliko "khanga". Na inaonekana pia kwamba "khanga" ni ubuni wa hivi karibuni zaidi. ChriKo (majadiliano) 19:59, 8 Septemba 2017 (UTC)Reply

Labda wanajaribu kutofautisha na Kanga ndege au?--MwanaharakatiLonga 09:56, 20 Desemba 2017 (UTC)Reply
Ndiyo, inawezekana. Lakini kuna maneno mengi ambayo yana maana kadhaa. Na nilianza kuona tahajia hii hivi karibuni tu. ChriKo (majadiliano) 14:52, 20 Desemba 2017 (UTC)Reply
Return to "Khanga" page.