Majadiliano:Kipoland

Latest comment: miaka 16 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Kipoland#Kipolandi__ya_frasisi

Kipoland#Kipolandi__ya_frasisi

hariri

Haikutakiwa kuwa katika sehemu ya Nahau za Kipoland? Maana sipati picha juu ya maana ya neno "frasisi". Oliver na Kipala naomba nisaidieni juu ya hili.--Mwanaharakati (majadiliano) 15:24, 30 Julai 2008 (UTC)Reply

Nimeondoa sehemu kubwa ya orodha ya maneno ya Kipoland. Inaonekana ya kwamba mchangiaji alinakili orodha hii kutoka mahali; kwa sababu alinakili vichwa vya Kipoland katika orodha. Sioni maana kujaza kurasa zetu na maneno mengi hata kama mifano kadhaa ni sawa kama mfano tu. Heri angeweka kiungo kwa mahali aliponakili orodha ile. --Kipala (majadiliano) 06:34, 2 Septemba 2008 (UTC)Reply
Naunga mkono hoja hii, na ndiyomaana sikuchukua hatua hadi hapo ulikpokuja na kuweka vinavyofaa!! Tusonge.--Mwanaharakati (majadiliano) 09:02, 2 Septemba 2008 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Kipoland ".