Majadiliano:Korongo
Latest comment: miaka 9 iliyopita by ChriKo in topic Mchango wa Telesphory
Mchango wa Telesphory
haririTelesphory salaam. Ukitaka kuchanga matini kuhusu ndege tafadhali yaingize katika makala za ndege hawa. Ukurasa huu ni wa kutofautisha maana. ChriKo (majadiliano) 09:41, 23 Agosti 2015 (UTC)