Majadiliano:Kujenga taifa
Latest comment: miaka 15 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Makala haieleweki kirahisi; sehemu ya tatizo ni kutafsiri neno-kwa-neno makala ya Kiingerea isiyoeleweka vizuri. Hii inaleta lugha ya ajabu kama vile "utambulisho wa kitaifa" au "kuunda upya wilaya yaliyowekwa na wakoloni ambayo bila kufikiria kuhusu mipaka ya kikabila au nyingine."
Naona kama mchangiaji anatumia translate.google angalau ajitahidi kusoma anachoweka. Jinsi ilivyo haikubaliki. Hata hivyo -ingawa kuna udhaifu tayari katika makala ya Kiingereza- inawezekana kuboresha maandishi ili ikfae kuwa makala; ila tu ni kazi! --Kipala (majadiliano) 21:34, 10 Desemba 2009 (UTC)
- Ukijaribu kwenda kwa undani, utaona kama nimekata tamaa juu ya usaidizi wa washindani hawa. Nimejaribu kuwalezea nami mara kwa mara, lakini loh! Nashindwa kwa sababu si wengi walionyesha moyo wa kufanya kweli. Angalau hata yule Janeth uliokuwa ukimwelekeza - ameweza kuonyesha nia na wewe huku sita ukaendelea kumwaga dawa upande wake zaidi. Ilinifurahisha sana. Lakini kwa hawa wengine,mmh, haya!-- MwanaharakatiLonga 06:55, 11 Desemba 2009 (UTC)