Majadiliano:Kuma

Latest comment: miaka 4 iliyopita by Riccardo Riccioni in topic Badiliko la picha

Badiliko la picha hariri

Chicharito. Ninaona badiliko la picha saa hii tu. Kwa nini unasisitiza kuibadilisha? Una tatizo la maadili kuona picha ya kuma? Kama ni hivyo kwa nini hukubadilisha picha ya mboo? Ama hujali kuona hii? Angalau ungaliweka maelezo chini ya mchoro wa kuma. Nilirudisha picha. ChriKo (majadiliano) 14:46, 21 Julai 2019 (UTC)Reply

Sijui tofauti za hizo picha, lakini nilishangaa kuona makala hii kushika nafasi ya pili kati ya kurasa zote za mwezi mzima! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:54, 22 Julai 2019 (UTC)Reply
Return to "Kuma" page.