Majadiliano:Lacrosse ya wasichana
Latest comment: miaka 5 iliyopita by Kipala in topic Kuhamisha, kusahihisha
Kuhamisha, kusahihisha
haririMakala hii inahitaji kuhamishwa kwenda Lacrosse. Sijaona ushuhuda wowote kwa kuwepo kwa "Lacrosse ya wasichana". Mchezo huu unachezwa na wanaume na wanawake kwa pamoja; naona kuna pia Lacrosse ya wanawake. Hata enwiki haina makala ya pekee kwa mchezo wa wanawake.
Tena kuna habari kadhaa ndani ya makala ambazo si sahihi. Haielezi asili yake ni mchezo wa Maindio, yaani wakazi asilia wa Amerika. Si kweli ni mchezo wa watu "wasio na imani". Haitaji Kanada kama nchi ya asili. Naona kwa masahihisho machahce inaweza kuunda makala nzuri ya "Lacrosse" Kipala (majadiliano) 19:08, 4 Desemba 2019 (UTC)