Majadiliano:Lucrecia Covelo
Latest comment: miezi 11 iliyopita by Kipala in topic Umaarufu
Umaarufu hariri
MAkala haionyeshi kwa nini mtaalamu huyu anastahili makala; mtungaji hakutafsiri matokeo muhimu ya kazi yake. Kipala (majadiliano) 19:14, 22 Mei 2023 (UTC)
- Pia Habari haishabiiani na kichwa chake au lengo la makala. Ikiwezekana Ifutwe tu. Olimasy (majadiliano)